Pages

Monday, December 15, 2014

Rose ndauka Na Richie Warudi Pamoja Katika Filamu Mpya.

Mastaa wa filamu nchini Rose Ndauka na Richie Single Mtambalike wameingia location kushuti filamu mpya chini ya kamouni ya Bulls Entertainment.

Rose na Richie walishaigiza pamoja filamu zilizowapa umaarufu kama vile Swahiba

No comments:

Post a Comment