Pages

Monday, December 15, 2014

Irene Uwoya Na Banana Zoro Ndani Ya Filamu Mpya.

Muigizaji na producer maarufu wa filamu Tanzania ambaye pia ni msambazaji William Mtimu ameingia location kushoot filamu mpya ambapo moja wa waigizaji wakuu ni Irene Uwoya na Banana Zoro.
Picha hapo juu ni Uwoya na Banana wakiwa on set

No comments:

Post a Comment