Pages

Sunday, December 7, 2014

Photos: Wolper Asherehekea Birthday Kwa Kutoa Misaada Kwa Wazee Wasiojiweza.

Star wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper jana alisherehekea birthday yake kwa kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza wa kituo cha Msimbazi Center kilicho chini ya kanisa Katoliki.
Wolper alitoa misaada ya unga, mchele, madumu ya mafuta ya kupikia na vitu vingine.


No comments:

Post a Comment