Pages

Monday, December 8, 2014

Mtunisy, Chuchu Hans Na Rammy Galis Wagawana Maumivu Kwa Kishindo Leo Hii.

Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Mtunisy Nice  Mohamed leo hii ameingiza kwa kishindo sokoni filamu yake mpya iitwayo tugawane maumivu akiwa na Chuchu Hans, Rammy Galis na Mukly Ismail.


 Pata nunua nakala yako halisi sasa ufaidi movie hii

No comments:

Post a Comment