Pages

Monday, December 8, 2014

Modest Bafite Apanga Kuja Na Vitu Vikubwa.

Actor na director wa filamu Tanzania Modest Bafite amepanga kuja na vitu vikubwa muda si mrefu. Modest amesema kuwa yeye huwa hana haraka ya kufanya mambo yake sababu ana  mipango ya muda mrefu kufika mbali katika tasnia ya filamu.

No comments:

Post a Comment