Wednesday, December 3, 2014

Mtunisy Aendelea Kusota Rumande Baada Ya Kumpiga Mkewe.

Mtunisy
Star wa filamu nchini Tanzania Mtunisy Nice Mohamed ameendelea kuwa rumande baada ya kumshushia kipigo mke wake na mke huyo kuumia sana kiasi cha kulazwa hospitali mpaka sasa.
Mtunis ambaye aliwekwa ndani Jumatatu ilopita amenyimwa dhamana kutokna na mkewe kuwa katika hali mbaya bado.

Kesi yake itatajwa tena tarehe 15 December katika mahakama ya mwanzo Manzese/Sinza

No comments:

Post a Comment