Pages

Saturday, December 6, 2014

Mpenzi Wangu Wa Sasa Ana Mvuto Sana Kuliko Mtunisy: Batuli

Batuli na Mtunisy
Actress maarufu Tanzania Batuli Yobnesh Yusuph amemchana mpenzi wake wa zamani Mtunisy Nice Mohamed ambaye pia ni star wa filamu nchini kuwa hana mvuto kama mpenzi wake aliyenae sasa.
Akizungumza na Globalpublishers Batuli alisema kuwa mpenzi alinaye sasa anayedaiwa kuwa mzungu ana mvuto wa hali ya juu na pia mwenye mafanikio na soon wataonana.

Batuli alisema "Mtunis wapi bwana sasa hivi kwangu? Hana mvuto na kama niliwahi kutoka naye basi kipindi kile, sasa hivi kiukweli nipo na mwanaume ambaye nampenda na muda ukifika, ataniweka ndani, kila mmoja atamjua"

No comments:

Post a Comment