Pages

Saturday, December 6, 2014

Batuli Kuolewa Na Tajiri Wa Kizungu Mmiliki Wa Makampuni Makubwa !

Batuli
Star wa filamu Tanzania Batuli Yobnesh Yusuph anadaiwa kuwa na mchumba wa kizungu ambaye soon wataona.
Kwa mujibu wa Globalpublishers mzungu huyo wa Batuli ni raia wa nchi moja ya kiafrika lakini ni mfanyabiashara mkubwa mwenye mafanikio. Batuli anadaiwa kusema anashukuru kupata mtu sahihi kama huyo mzungu.

Hata hivyo Swahiliworldpolanet ilipomuuliza Batuli leo hii alisema hamjui huyo mzungu atakayemuoa. "hayo ya mzungu siyajui" alisema Batuli kwa ufupi

Hata hivyo hivi karibuni Batuli alikaririwa akisema kuwa amepata mchumba na ataolewa muda si mrefu ingawa hakutaka kumuweka wazi mchumba huyo

No comments:

Post a Comment