Pages

Saturday, December 13, 2014

Aunt Ezekiel Akiri Kuwa Mjamzito.

Hatimaye actress Aunt Ezekiel amekiri kuwa ni mjamzito baada ya kukana kwa mara kadhaa.
Akizungumza na Globalpublishers Aunt amesema kuwa haoni tatizo kupata ujauzito huo ambao bado kulikana ni wa mwanaume gani kwa madai ana umri sahihi wa kupata mtoto sasa.

"Najua watu wengi wanazungumza kuhusu mimi na ujauzito wangu lakini mimi sijaona tatizo na tena siko chini ya umri wa miaka 18 sijui kama kuna tatizo lolote nikipata mtoto na hivyo kama mimba ipo watu wasubiri"

No comments:

Post a Comment