Pages

Saturday, November 22, 2014

Wimbo Mpya Wa AY, Sean Kingston Na Ms Triniti "Touch Me" Kutoka Jumatatu Ijayo.

Mwanamuziki maarufu Tanzania AY anatarajia kuachia wimbo wake mpya uitwao "Touch Me" aliomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti toka Jamaica. Wimbo huo utatoka rasmi Jumatatu hii ya tarehe 24.

No comments:

Post a Comment