Pages

Wednesday, November 26, 2014

Wema Sepetu Amwaga Chozi Baada Ya Kuona Kiss La Zari Na Diamond Platnumz.

Kiss(denda) la Zari The Boss Lady na Diamond Platnumz ambalo lilizagaa mitandaoni Jumapili ilopita linadaiwa kumuumiza Wema Sepetu kiasi cha kumwaga chozi baada ya kuona picha ya wawili hao iliyozua kasheshe kwenye social media.
Chanzo kimoja ambacho kipo kambi ya Wema kimeitonya Swahiliworldplanet kuwa Wema alikuwa nyumbani kwake baada ya kutumiwa picha hiyo kwenye simu yake na mmoja wa marafiki zake wakubwa na baada ya kuona picha hiyo alipatwa na mshtuko kuona Zari akidendeka na Diamond kwani alikuwa anafikiri wapo kikazi tu. Soma ilivyokuwa toka kwa chanzo na SWP......

Chanzo: Mamboo...
SWP: fresh tu, nipe mpya basi
Chanzo: ha ha ha haaa...lolest
SWP:Mbona unacheka?
Chanzo: tuyaache hayo, mwenzio nina habari nataka kukupa
SWP: Ok, nashukuru, ya nani?
Chanzo: Ya madam Wema
SWP: ok nambie imewakuwaje kwani!
Chanzo: Wema kamwaga chozi, ni baada ya kuona picha ya Zari na Diamond wakipigana denda, yaani pressure ilikuwa inapanda na kushuka, nlikuwa nae wakati alipotumiwa ile picha, alijizuia but yakamshinda chozi likamshuka akawa anatetemeka nakwambia, Wema bado anampenda Diamond but I have no idea why wapo katika friction"
SWP: halafu ikawaje
Chanzo: ni hayo tu hakuna jingine
SWP: ok ahsante
Chanzo: okyyy



No comments:

Post a Comment