Saturday, November 1, 2014

Wanaume Kaeni Mkijua Sina Mpango Wa Kuolewa Leo Wala Kesho: Sabby Angel

Sabby
Muigizaji wa filamu anayekuja juu kwa kasi nchini Sabby Angel amesema kuwa hana mpango wa kuolewa kwasasa hata miaka kumi ijayo kwani yupo busy kujiimarisha katika kazi zake za filamu na muziki hivyo wanaotaka kumuoa waandike wameumia.Sabby kwasasa anafanya vizuri kuwenye filamu akiwa tayari amecheza na mastaa wakubwa kama Ray Viucent Kigosi, Gabo Zigamba, Dr.Cheni, King Majuto, Dude na wengineo

No comments:

Post a Comment