Pages

Saturday, November 15, 2014

Sina Ninachojutia Nime-enjoy Sana Usichana Wangu: Faiza Ally

Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Faiza ameandika ....

"Sina ninachojutia nime enjoy usichana wangu sana tu .... Acha nilee tu Sasa hivi .... maisha yana badilika zaidi kuna vitu muhimu vinaongezeka na vingine unaachia wengine na wewe una elekea kwenye steps zingine za maisha# ktk maisha ya Sasa sina ninacho shangaa nimefanya mambo mengi ambayo wengine wengi wana Fanya Sasa hivi na mengi yao kwangu naona marudio tu... Vitu Kama kuvaa sana kubadilisha nywele , kubadilisha magari , kutoka out sana # kwa Sasa nimekua tofauti siko huku tena# watu wana niuliza Faiza vipi zamani ulikua unapendeza sana mbona umechoka hahahahaaa nabaki nacheka zamani nilikua napendeza sana Lkn sikua na Nyumba , sikua naweza kuishi na gari moja kwa muda mrefu, zamani pia sikua na mtoto, zamani sikua na somesha zamani sikua na vitu muhimu zaidi ya ku enjoy life ... sijachoka nimebadilisha maisha na nayapenda sana maisha yangu ya Sasa kwa sababu naishi kwa ajili yangu# Kama bado uko Kama ulivyo kuwa miaka kumi ilio pita basi kaa utafakari sana una elekea wapi na unataka kuwa nani basi taratibu utabadika tu # huwezi kufanya mambo yote kwa wakati mmoja na ndio maana watu tuko tofauti ..... Nimemaliza"

No comments:

Post a Comment