Wednesday, November 5, 2014

Rapper Cosby Kuachia Wimbo Unaoitwa "Wema Sepetu" Leo Hii.

Mwanamuziki Cosby anatarajiwa kuachia wimbo wake mpya leo hii uitwao Wema Sepetu. Kwa mujibu wa Bongo5 Cosby akizungumzia wimbo huo alisema.......


"Wema Sepetu, sijui nianzie wapi ili iwe rahisi kueleweka, anyways...wote tunamjua Wema au kusikia au kusoma habari kuhusu Wema, ni former Miss Tanzania, movie star, celebrity wa kike ambaye anapendwa sana na watu ndani na nje ya Tanzania, wanawake wengi wanatamani kuwa Wema Sepetu kwa ujumla au sehemu tu na huu wimbo umeongelea juu ya msichana au mtoto wa kike ambaye anafanana na Wema Sepetu"

Haya sasa subiri mzigo uingie rasmi sokoni.........

No comments:

Post a Comment