Pages

Friday, November 7, 2014

Hivi Nyie Mnaomtaka Nuh Mziwanda Mwanzoni Hamkumuona Au !: Shilole

Shilole na Nuh Mziwanda
Shilole ameendelea kuwagawia makavu live wale ambao bado wanaendelea kutia maneno kila kukicha kwenye penzi lake na Nuh Mziwanda wakidai Shilole ni mkubwa kiumri na Nuh Mziwanda ni mdogo. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Shilole aliweka picha hiyo hapo chini na kuandika ....

"It's dark again with bebito.ila ngoja niseme jambo kidogo.hivi wale wanaomtaka Mziwanda leo kimapenzi mwanzoni hamkuniona ama?maana nimeanza kuimba kitambo sana.ila leo ndio daaaah Mziwanda mimi naonekana kwa kila mtu.hebu mwachieni alienitengeneza ale vyake bana. Pendeni kazi zangu tu .mambo mengine mwachieni katoto kangu.nampenda anaependa muziki wangu tu. #AfricanPrince" 



No comments:

Post a Comment