Sunday, November 9, 2014

Hii Ndiyo Gari Aliyopata Nayo Ajali Simon Mwakifwamba Rais Wa TAFF.

"Hii ndiyo gari Toyota Noah T 176 CYM mali ya TAFF ambayo Rais wa Shirikisho La Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, alikuwa akiendesha na kupata ajali maeneo ya Mkundi, nje kidogo ya mji wa Morogoro karibu na mizani, usiku wa kuamkia leo wakati akitoka Dodoma kuja Dar es Salaam. Gari ilipinduka wakati akijaribu kumkwepa mwendesha bodaboda na kuharibika sana lakini yeye yuko salama..."
ameandika Bishop Hiluka katibu mkuu wa TAFF


No comments:

Post a Comment