Pages

Thursday, November 13, 2014

Gabo, Halima Ally, Tino Waingia Sokoni Na Itikadi.

Halima Ally
Muigizaji Halima Ally ambaye alikuwa mke wa Bob Junior kabla ya kutengana amekuja na filamu mpya iitwayo Itikadi akiwa na Gabo Zigamba Salim Ahmed, Tino Hisani Muya na Otiliya Joseph. Filamu hiyo tayari imeingia sokoni juzi.


No comments:

Post a Comment