Pages

Thursday, November 13, 2014

Diana Kimaro Na Manaiki Sanga Wamwagana.

Diana Kimaro
Habari mpya zisizo na shaka ambazo Swahiliworldplanet imezinasa ni kuwa mastaa wa filamu nchini Diana Kimaro na Manaiki Sanga wamemwagana baada ya kuwa wapenzi kwa muda kidogo na kwa kificho.
Juzi Manaiki alipoulizwa uso kwa uso na SWP kuhusu hilo alijibu kwa ufupi kuwa ni kweli wamemwagana na kwasasa ana demu mwingine.

                                                      Manaiki Sanga

No comments:

Post a Comment