Pages

Saturday, November 29, 2014

Diamond Platnumz Ang'ara Kwa Kunyakua Tuzo 3 Channel O Africa Music Video Awards 2014.

Superstar wa Tanzania Diamond Platnumz ameng'ara tuzo za Channel O Africa Music Video Awards kwa kunyakuwa tuzo 3 za Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro-pop na Most Gifted East Africa .
Katika kipengele cha Most Gifted Afro-pop alikuwa akichuana na Davido, Mafikizolo, Iyanya na kuibuka kidedea.......

No comments:

Post a Comment