Monday, October 20, 2014

Mnikome ! Mnakuwa Chumbani Mpaka Mseme Nuh Mziwanda Ni Mtoto Mdogo: Shilole

Star wa filamu na muziki nchini Tanzania Shilole amemua kuwapa makavu machana kweupe wale wote wanaopenda kufuatilia mapebnzi yake na Nuh Mziwanda.
Shilole amekuwa akiandamwa na maneno toka kwa baadhi ya mashabiki na hata baadhi ya wasanii wenzake kuwa yeye ni mkubwa kiumri hivyo anambemenda Huh Mziwanda kwa madai hawalingani umri. Huko nyuma Shilole na hata Nuh Mwenyewe ashasema yeye sio mdogo wa umri bali ni umbo tu ila sasa Shilole ameonekana kuchoshwa na gosssip mongers wanaofutilia penzi lake na Nuh kwa kusema .....

"Huyo Nuh mnayesema ni mdogo kwangu ! Kwani hajawaona wadogo wenzie mpaka kanipenda mimi?? Mtoto mdogo angekuwa analilia mapenzi ! Si angekuwa analilia ziwa kwa mama yake ! But ni mkubwa ndio maana kajua utamu wa mwanamke ndio maana kaniganda! Wenywe tumeridhiana! Wivu tu unawasumbua nikiwa na mtu mzima mtasema lol Shilole bwana'ke babu nikiwa na kijiana mwenzangu oooh kitoto kidogo mnikome! Mnakuwepo chumbani muone udogo wake ! 

No comments:

Post a Comment