Pages

Thursday, October 30, 2014

Shamsa Ford: Namshukuru Mungu Filamu Ya 'Chausiku" Kupokelewa Vizuri Na Kuzidi Kuniweka Juu Kisanaa.

Star mkubwa wa filamu Tanzania asiye na skendoShamsa Ford amesema kuwa anamshukuru sana Mungu kwa filamu yake ya Chausiku kukubalika sokoni na mashabiki kiasi cha kuzidi kumuweka juu kisanaaa.
Akizungumza na Swahiliworldplanet Shamsa mmoja wa mastaa wasio na makuu alisema.......

"namshukuru Mungu na nimefurahi, kikubwa zaidi nitaongeza bidii kwa kila movie nitakayofanya na mashabiki wangu wategemee kazi nzuri zaidi ya Chausiku"

Shamsa Ford

No comments:

Post a Comment