Pages

Thursday, October 30, 2014

Busu La Wema Sepetu Na Aunty Ezekiel Lazua Minong'ono !

Busu la mastaa wa filamu nchini Wema Sepetu na Aunty Ezekiel limezua kizaazaa kwenye mitandao ya kijamii na media kwa madai limepitiliza ukifikiria ni watu wa jinsia moja. Kama wanavyoonekana piocha kitendo hicho kilitokea juzi katika birthday ya Aunty.

 Hata hivyo marafiki hao wakubwa wamedai hawapo kama baadhi ya watu wanavyowashuku vibaya klwa madai ni kawaida kwao kama marafiki walioshiba ukifikiria walikuwa mbali kidogo kwani Wema alikuwa China mdo akarudi na kukutana.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment