Monday, October 13, 2014

King Majuto Na Masinde Wapimana Ubavu Ndani Ya Wema Uko Wapi.

King Majuto na Masinde Richard Mshanga ni miongoni mwa wasanii ambao kila mmoja ameonyesha uwezo wake ndani ya filamu mpya ya Wema Uko Wapi toka kampuni ya Lufedha Films inayotarajiwa kuingia sokoni tarehe 26 mwezi huu wa kumi.

Mastaa wengine ndani ya filamu hiyo ni Stanley Msungu na Salehe Lufedha.

Kaa mkao wa kula kununua kopi original ya movie hiyo tarehe 26

No comments:

Post a Comment