Friday, September 19, 2014

Nina Watoto Watatu Na Kila Mmoja Ana Mama Yake: Ali Kiba

Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.
Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo hapa hapa Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama yake.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment