Pages

Tuesday, September 23, 2014

Diamond Platnumz Kuachia Nyimbo 2 Mpya Kwa Mpigo Zilizotengenezwa Nje Ya Nchi.

Superstar wa music wa Bongofleva, Tanzania Diamond Platnumz ananga kuachia nyimbo nyingine mbili kwa mpigo baada ya kuachia Mdogo mdogo ambayo bado inatamba kwasasa huku akikimbiza katika nominations za tuzo mbalimbali za kimataifa.
"“Tusubirie kidogo, baada ya miezi miwili mitatu tutaongea kwa sababu kuna kazi zinakuja, Diamond anarelease ngoma mbili mfululizo na zote zimetoka nje. Lakini hatuwezi kueongea sasa hivi hadi muda ufike.:   alisema Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond Platnumz akizungumza na mtandao wa Times fm

No comments:

Post a Comment