Sunday, August 3, 2014

Wastara Na Hemedy PHD Waja Na Last Decision.

Wastara na Hemedy wanakuja na filamu mpya ya Last Desicion ambayo itatoka tarehe 14 mwezi huu. Waigizaji hao tayari walishacheza filamu kadhaa pamoja lakini ujio wao huu mpya unatarajiwa kuwa tishio.

No comments:

Post a Comment