Saturday, August 23, 2014

Nargis Mohamed Mjamzito !

Nargis Mohamed
Muigizaji Nargis Mohamed ambaye hutokea mara chache katika filamu anadaiwa kuwa mjamzito na kwasasa hula vitu vichachu kwa sana tu.
Chanzo kimoja kimesema Nargis atakuwa mjamzito kwa madai hata instagram aliweka picha akiwa anakula bungo na kuandika "my current situation"

Nargis ametamba na filamu za Yellow Banana, Woman Of Principles na Magic House akiwa na Ray na marehemu Kanumba.

No comments:

Post a Comment