Monday, August 18, 2014

Justin Bieber Wewe Wapende Hao Kina Selena Gomez But Mimi Ndo Nakupenda Kwa Dhati: Lulu

Lulu
Star wa filamu Swahiliwood Lulu Elizabeth Michael amesisitiza kuwa yupo serious kuhusu kumpenda Justin Bieber mwanamuziki maarufu wa Marekani. Lulu aliwafungukia pia wale wanaomwambia anaota kwa kusema hajali wayasemayo ila yeye anampenda Bieber kwa dhati kuliko kina Selena Gomez. Kuitia Instagram Lulu aliweka picha ya Bieber leo na kuandika..........

"Mapemaaaa...Kabla siku haijawa ngumu..! Haya ni hivi wale wa kuandika ndoto za nini sijui...Mara sijui huwezi kumpata na sijui kimepanda kimeshuka...msinijazie comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kidogo...ni hivi Huyu Bwana suala la yeye kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda...ila suala la yeye kupendwa aniachie mimi....yaani hiyo kazi yangu....!!!Sasa Kama ni ndoto Wallah sitaki kuamka, Kama ni ufala...yaani ninaukubali kwa asilimia 150%, na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua, Nina uhakika Zile ndimu za@diamondplatnumz haziwezi kukutosha maana hiki kichefuchefu sio cha kuisha, bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kabisa....Na hili Zoezi ni endelevu...yaani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo"


Kwa muda mrefu sasa Lulu amekuwa akiweweseka penzi la star mwenzake huyo wa Marekani bila hata mafanikio ya Bieber kumsikia but Lulu bado kukata tamaa..!
Justin Bieber na Selena Gomez
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment