Sunday, August 24, 2014

Happy Nyatawe Ataja Sifa Za Mwanaume Amtakae, Awachana Wanaume Wanaojichubua.

Happy
Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania Happy Nyatawe amesema kuwa anapenda mwanaume mweusi na mwenye mwili wa kimazoezi, Happy amesema kuwa anawashangaa sana wanaume wanaojichibua kama wanawake na pia amesema hapendi mwanaume Marioo au serengeti boy asiyejishughulisha. Happy amesema kuwa anapenda mwanume anayemheshimu mwanamke na na kusikilizana sio yeye amwe mweongeaji wa kila kitu ndani ya nyumba.

"Chaguo langu ni mwanaume mweusi, mrefu na awe na mwili wa mazoezi ..hapo utanikamata nashangaa wanaume wanaojichubua nawapa pole sana, Pia kitabia sipend mwanaume muongeaji sana kila kitu anajua yeye, Mwanaume anayemsikiliza mwanamke na kumueshimu ndo mpngo mzima, Mwanaume marioo au serenget boy kwangu hana nafasi sipendi wanaume wakaa vjiweni wanaopenda kitonga, Wanawake tunaweza tusisubir pesa za kuhongwa cku hz wanaume hawatak mwanamke asiye na shuhuli ya kufanya"


No comments:

Post a Comment