Saturday, August 23, 2014

Daudi Michael Duma, Rado, Bi.Mwenda Kutesa Na Filamu Ya Kinyongo Sokoni.

Star wa filamu nchini Daudi Michael Duma ambaye pia anatamba na tamthilia ya Siri Ya Mtungi anatarajiwa kuingia sokoni kwa kishindo na filamu yake mpya inayoitwa KINYONGO itakayoingia rasmi sokoni tarehe 8 mwezi wa 9. Simon Mwapagata Rado, Fatma Makongoro(Bi. Mwenda) na Miriam Robert. Filamu hiyo tangu poster yake itoke imekuwa ikusubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa filamu za kitanzania.

Usikose kununua nakala yako halisi.................

No comments:

Post a Comment