Thursday, July 31, 2014

Photos: Wellu Sengo Amfanyia Surprise Shamsa Ford Katika Birthday Yake Leo Hii.

Wellu na Shamsa
Leo hii ni birthday ya star wa filamu nchini Shamsa Ford ambapo mashabiki na marafiki zake wengi walimtakia kila la kheri na kumtumia ujumbe mbalimbali kwenye social media.
Hata hivyo habari ni kuwa Wellu Sengo ambaye ni star mwenzake wa filamu amemfanyia surprise ya party ndogo na kumletea cake. Shamsa na Wellu wamecheza pamoja filamu mpya ya Hukumu Ya Ndoa Yangu wakiwa na JB na tayari ipo sokoni. Kupitia Instagram Shamsa ame-share picha na kumshukuru Wellu kwa surprise aliyomfanyia......

Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment