Tuesday, July 29, 2014

Lady Jaydee Awashukuru Mashabiki Baada Ya Kushinda Best Female Artist East Africa Katika AFRIMMA Awards 2014.

Mwanamuziki superstar wa kike nchini Tanzania Lady Jaydee amewashukuru mashabiki wake baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA best female artist east Africa ambapo tuzo hizo zilifanyika nchini Marekani juzi. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Jaydee anayejulikana kwa kuwa na msimamo mkali kwa watu wanaonyonya wasanii aliandika
"Nashukuru wote mnaokubali kazi zangu, wote mnaosimama na kutetea JayDee bila kusita, nashukuru kwa Tuzo nyingine tena toka AFRIMMA . Wahenga walinena kuwa utavuna ulichopanda, mapenzi tele kwa kila mtu."


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment