Thursday, July 10, 2014

Inside Ya Odama Kutoka tarehe 17 Wiki Ijayo.

Filamu ya Inside toka kwa Odama iliyotarajiwa kutoka leo tarehe 10 imesogezwa mbele kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo. Habari zinasema kuwa filamu hiyo itatoka tarehe 17 wiki ijayo kwasababu msambazaji alikuwa busy sana na maonyesho ya sabasaba. Usikose kununua filamu hiyo ili kushughudia vituko vinavyotokea maofisini.

No comments:

Post a Comment