Pages

Saturday, June 7, 2014

Walter De Ngode Kufunga Ndoa Mwezi Wa 11 Mwaka Huu.

Walter
Muigizaji wa filamu na model wa Tanzania Walter De Ngonde anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi na moja mwaka huu. Walter tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa kama Ray, Jackline Wolper, Irene Uwoya, Chuchu Hans, Richard Mshanga Masinde na wengineo. Kila la kheri Walter



Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment