Monday, June 23, 2014

Uongozi Wa Kundi La Bongo Movie Unity Umejipanga Kufanya Makubwa: Steve Nyerere

Steve Nyerere
Mwenyekiti wa kundi la Bongo movie unity Steve Mangere "Steve Nyerere" amesema kuwa uongozi wake wa kundi la Bongo movie unity unajipanga kufanya miradi mbalimbali ili wasanii wa kundi hilo ambalo ni sehemu ndogo tu ya wasanii wote wa filamu Tanzania kufaidik na kazi zao na kwendana na hadhi zao.
Akizungumza na Filamucentral Sreve alisema "Bongo movie ni taasisi kubwa ambayo ina vitu vingi vya kufanya vya kimaendeleo humu humu katika tasnia ya filamu, uongozi umejipanga kufanya makubwa ambayo yanakuja muda si mrefu ikiwa ni sehemu ya mapinduzi katika tasnia ya filamu,"


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment