|
Batuli na Patcho Mwamba |
Star wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu. Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo amecheza na Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza. Angalia baadhi ya picha....................
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment