Pages

Thursday, June 5, 2014

Msichana Anayedaiwa Kubakwa Na Mume Wa Florah Mbasha Ni Shidaaah !

Takribani wiki sasa habari kwenye magazeti na mitandao ya kijamii na blogs ni kuhusu mume wa mwanamuziki maarufu wa injili nchini Flora Mbasha kudaiwa kubaka, Mume wa Flora anayedaiwa kumbaka shemeji yake anaitwa Emanuel Mbasha ingawa mwenyewe amekanusha kuwa hajabaka bali ameundiwa zengwe ili kutupwa jela. Msichana mwenyewe anayedaiwa kubakwa ni huyu hapa picha ambaye ana figa matata na inasemekana ana umri wa miaka 17 tu !, picha zake zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni na inadaiwa siku za nyuma magazeti yaliandika kuwa alirekodi video ya ngono na mcheza soka Mrisho Ngasa.


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

5 comments:

  1. Woraaaaaaaa ni sheeedaaaaaah shemeji hata km Ni papa pale Vatican haponi mtuuuuuu

    ReplyDelete
  2. Waaaooooo gud boy mbasha ni shiiiiiida

    ReplyDelete
  3. Sasa huyo kabakwa walikubaliana!mbona utata una shemeji mzuri kuliko mkeo!

    ReplyDelete
  4. Kucopy na kupaste. Tuambie umeitoa wapi picha hii.

    ReplyDelete
  5. Oyah mbona mnatuchanganya, Mara y kwanza alipigwa picha mdada mweusi mfupi na no way kawaida tu. Sasa huyu
    tena mweupe, mzuri na mwenye figure Kali ya hivi katoka wapi? Au amebaka wabinti wengi! Achani uzushi wa kupamba habari. Andikeni ukweli was mambo il I jamii ielewe. Kama kweli huyu binti ndio aliyesababisha abakwe mwenyewe.

    ReplyDelete