|
Mariam Ismail |
Moja ya wasanii ambao wameumia sana na misiba iliyoongozana ya wasanii wa filamu Adam Kuambiana, Rachel Haule na George Tyson ni Mariam Ismail. Mariam ambaye ameshafanya kazi kadhaa pamoja na Adam Kuambiana amesema kuwa katika misiba hiyo alikuwa anaona giza tupu hasa wakati akipita kutoa heshima za mwisho ilibidi kusaidiwa kwa kushikwa mikono ili asije akaanguka kutokana na simanzi ya kutoamini misiba hiyo "niliona giza kwenye misiba yote mpaka nipitishwe na nishikwe" alisema star huyo akizungumza na
Swahiliworldplanet
|
Mariam alipokuwa katika misiba hiyo |
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment