Tuesday, June 17, 2014

Modest Bafite Afurahia Kufungasha Virago Vya Movie Mpya.

"Ninafuraha sana leo Kwasababu nimemaliza Filamu Yangu Mpya iitwayo MAFURIKO chini ya Company yangu Iitwayo Lufedha Film CO LTD, Hongereni na poleni sana Wote mlio shiriki katika Filam hii, Kwakweli mumefanya Kazi Nzuri, Nampongeza Mkurugenzi Wa Company SALEHE LUFEDHA kwa yote aliyo yafanya wakati tukiwa kambini, Mungu Akubariki sana Mkurugenzi Wangu, Mashabiki Wangu Kaeni Mkao Wa kula, Filam ya MAFURIKO, Mhmmmm, Ni Noumaaaaaaaa Saaaaaana" ameandika Modest Bafite kupitia mtandao mmoja wa kijamii


Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment