Tuesday, June 10, 2014

Florah Mvungi Amuomba Modest Bafite Wamalize Tofauti Zao Za Kikazi.

Florah
Star wa filamu nchini Florah Mvungi ambaye alidaiwa kumuingizia hasara ya zaidi ya mil.2.5 na nusu muigizaji mwenzake Modest Bafite baada ya kuanza ku-shoot filamu mpya na kisha kuikacha amejirudi na kuomba wayamalize na msanii mwenzake huyo kwasababu wao ni wasanii wanatakiwa kuwa kitu kimoja siku zote. Inadaiwa Florah alinyetishiwa habari iliyoandikwa na Swahiliworldplanet jana kuhusu issue hiyo na yeye kuisoma na baada ya hapo kumuomba Modest wayamalize kimya kimya.

 Tungependa kumpongeza Florah kwa uamuzi wake huo ukifikiria yeyey ni msanii mwenye jina na anayekubalika kwa mashabiki wake.
                                                                  Modest Bafite
Like our Facebook page Swahili World Planet for more updates about Tanzanian movie stars' latest gossips, news, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment