Saturday, May 3, 2014

Ray Hawezi Kunidhulumu Mapato Ya RJ Company: Johari

Hohari
Star mkubwa na wa muda mrefu katika tasnia ya filamu nchini Blandina Chagula "Johari" amesema kuwa yeye na mkurugenzi mwenzake wa RJ Company inayojishughulisha na masuala ya filamu wanagawana mapato sawasawa na Ray hawezi kumdhulumu wala kimpunja mapato kama baadhi ya watu wanavyodhani. Alisema pia kuwa RJ ipo na haiwezi kusambaratika kirahisi kwani wamejiwekea malengo na mikakati madhubuti.

"Si kweli. Kila mtu anapata sawa, Hakuna jambo kama hilo, Unajua misingi ya RJ ni imara sana Siyo ya kusambaratika kirahisi hivyo" alisema Johari ambaye anatamba sokoni na filamu kadhaa mpya akizungumza na GBL

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni Ijumaa hii April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment