Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya muigizaji Efrancyah Mangii ambayo ilihudhuriwa na watu wake wa karibu. Lakini wakati shughuli hiyo ikiendelea muigizaji huyo alivuliwa wiki alilokuwa nalo na kumwagiwa maji huku akibaki na mabutu pekee aliyposuka mwilini. Jionee picha
Kabala ya kumwagiwa maji alikuwa hivi
Ehhh ameumbuka??? mbona wamemfanya kua BOOOOOOMMMMMBBBBBAAA dada wa watu kumbe mzuri bila wigi!!! lile wigi lilikua linamuonesha (vibaya) si vizuri lilikua linaficha how BIG AND BEAUTIFUL SHE DAMNED IS!!!!!!!!!
ReplyDelete