Fashion designer anayekuja juu kwa kasi nchini Jocktan Wa Makeke Afrika kesho kutwa atafanya kweli katika shindano la Miss IFM 2014 ambapo atawavalisha warembo hao kuanzia nguo za ufunguzi wa show, ubunifu na nguo za kutokea usiku. Shindano hilo linafanyika Ijumaa hii Golden Tower Jubilee uliopo posta jijini Dar es salaam. Akizungumza na SWP designer huyo ambaye ni mhitimu wa degree ya sanaa kutoka chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) alisema
"show ni miss IFM 2014, itafanyika pale Golden Tower Jubilee, so warembo wote watavalishwa na Makeke nguo zote kutoka opening show , ubunifu na evenig dresses, tarehe 9/5/2014. kuanzia saa 8pm"
No comments:
Post a Comment