Friday, May 2, 2014

Photos: Actress Faiza Ally Azitembelea Nyota Za Bruce Lee Na Jackie Chan Huko Hong Kong, China.

Faiza akiwa katika eneo zilipo nyota za Bruce Lee na Jackie Chan
Star wa filamu nchini Faiza Ally juzi kati kabla ya kurudi Tanzania alitembelea sehemu zilipo nyota za mastaa wa filamu za kichina Jackie Chan na Bruce Lee huko  Hong Kong, China. Faiza pia alipaa nafasi ya kuigiza filamu na mastaa wa nchi hiyo hivi karibuni huku akitarajiwa kuwa katika project kubwa zaidi mwezi wa nane mwaka huu. Angalia picha............

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx


No comments:

Post a Comment