Pages

Thursday, May 29, 2014

Monalisa, Wastara, Asia Idorous, Mzee Chilo Watia Team Bungeni.

Hiyo picha inawaonyesha mastaa wa filamu na mitindo nchini Asia Idorous Khamsin, Yvonne Cherryl "Monalisa" Wastara na Ahmed Ulotu "Mzee Chilo" wakiwa Bungeni, Dodoma leo hii. Haijajulikana moja kwa moja walichokifuata lakini habari ni kuwa baadhi ya wasanii wapo huko kutokana na michakato yao ya kudai haki ya kutambuliwa na serikali yaani sanaa zote za filamu, muziki, mitindo na nyinginezo zitambuliwe na serikali kama sekta rasmi na kulinda haki zao ili wasanii wafaidike na jasho lao.

No comments:

Post a Comment