Tuesday, May 6, 2014

Diana Kimaro Avishwa Pete Ya Uchumba !

Star wa filamu nchini Diana Kimaro ambaye amejipatia umaarufu baada ya kuigiza filamu nyingi kama binti mcharuko zikiwemo Family Disaster, Foolish Age na Kigodoro Kantangaze ameweka picha katika Instagram zinazoonekana hapo juu akivishwa pete ya uchumba ingawa bado haijajulikana kama ni tukio la kweli au ilikuwa scene ya filamu yake mpya. Tukio hilo tayari limeanza kuzua minong'ono ya chini kwa chini ikidaiwa kama ni kweli basi Diana amekimbilia mambo kwasababu umri wake bado ni mdogo anatakiwa kujikita zaidi katika elimu  na kazi yake ya filamu.

                                                              Diana Kimaro
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni Ijumaa hii April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and 


No comments:

Post a Comment