Thursday, April 17, 2014

Wasanii Wanaoshindana Kununua Magari Ni Washamba: Cathy Rupia

Cathy Rupia
Msanii mkongwe na maarufu katika tasnia ya filamu nchini Sabrina "Cathy" Rupia amewachana baadhi ya wasanii wenzake wanaokuwa na mbio zisizoisha za kuendekeza kushindana kununua magari huku wakiwa hawana nyumba walizojenga. Cathy ambaye anatamba sokoni na filmau kibao kama vile Melvin, Waves Of Sorrow na nyinginezo nyingi amesema kuwa wajanja kama yeye hushindana katika kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba na sio vitu kama magari.

 "Wanaowekeza katika magari mi nawaona washamba, wajanja wengi tumewekeza katika nyumba ndiyo maana mimi nina nyumba yangu, naendelea kutafuta fedha nijenge zingine" alisema Cathy akizungumza na Globalpublishers.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment