Sunday, April 6, 2014

Rado, Daudi Michael, Bi Mwenda, Miriam Robert katika Filamu Mpya "Kinyongo"

Wasanii wa filamu Swahiliwood Daudi Michael, Simon Mwapagata"Rado", Fatma Makongoro "Bi Mwenda" na Miriam Robert wanatarajiwa kuonekana katika filamu mpya iitwayo "Kinyongo" imbayo itatoka mwezi ujao.


No comments:

Post a Comment