Thursday, April 10, 2014

Jokate Mwegelo Aja Na Ndala Za Kidoti Zenye Sura Yake.

Ndala za kidoti
Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa nchini katika entertainment industry amekuja na ndala za kidoti zenye picha yake baada ya kuwa gumzo na nywele za kidoti. Jokate licha ya kuwa maarufu sana haendekezi kuhongwa na wanaume kama baadhi ya mastaa wenzake wa kike walivyo bali anaamini katika kutafuta kwa kupitia jasho lake mwenyewe na kwa njia halali huki akiwa hana skendo. Congrats Jokate

                                                         Jokate
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment