Monday, April 7, 2014

Jicho Langu Yaendelea Kufanya Vizuri Sokoni.

Ile filamu ya Odama iitwayo JICHO LANGU inaendelea kukimbiza sokoni. Odama amekutana na mastaa wenzake humo ndani kama Salim Ahmed(Gabo), Thadeo Alexernda na Grace Mpaunda. Hakikisha unanunua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment